Muimbaji Billnass amesimulia sababu ya yeye kwenda hospitali kupima HIV na kisha baadae kupost majibu yake kwenye mtandao wa Istagram siku ya October 19, 2018. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama Billnass akizungumza.
EXCLUSIVE: “Ndoa yangu halali sijaomba michango, ma-ex wangu walijiunga wakaja”
Muimbaji Jolie anayeamini kwenye kipaji kuliko Elimu ameongea “Kipaji kimenipeleka Ikulu”