Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Habari 3 ‘HOT’ kwenye TV za Tanzania April 25, 2017
Share
Notification Show More
Latest News
UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
May 30, 2023
Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Habari 3 ‘HOT’ kwenye TV za Tanzania April 25, 2017
MixStori Kubwa

Habari 3 ‘HOT’ kwenye TV za Tanzania April 25, 2017

April 25, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Habari zote zilizopewa airtime kwenye TV za Tanzania unazipata hapa mtu wangu ambapo kama ulikosa time ya kuangalia taarifa ya Habari mchana wa April 25, 2017 millardayo.com inakupatia fursa ya kutazama habari 3 kubwa zilizosomwa saa 7 adhuhuri kupitia TV za Tanzania.

Star TV Habari: Madai ya kunyanyaswa na Polisi 

Wakazi wa Nzega Ndogo wametoa malalamiko kwa Mbunge wa Jimbo hilo Hussein Bashe kuwa, baadhi ya Askari Polisi wanaotembea na pikipiki maarufu kama PT na kuwanyang’anya pikipiki zao usiku. Wananchi hao waanalalamika pia kuombwa rushwa na Askari hao jambo linalowafanya kushindwa kufanya kazi kwa uhuru na ufanisi. Malalamiko hayo ni ya muda mrefu kwa bodaboda hao ambao wengi ni vijana waliojiajiri.

Chanel 10 Habari: Chama cha Wakala na Forodha kuandaa mkutano wa kimataifa nchini

Chama cha Forodha kwa kushirikiana na Wizara ya Uchukuzi, wameandaa mkutano wa kimataifa ambao utafanyika kwa siku nne kwa lengo la kujadili namna ya kutumia usafirishaji na ukuaji endelevu wa kiuchumi. Mkutano huo unatarajiwa kuhudhuriwa na Wajumbe zaidi ya 300 wa ndani na nje ya nchi.

Star TV Habari: Wanafunzi watakiwa kupimwa afya

Kaimu Afisa Elimu wa Manispaa ya Kinondoni, Mwalimu Shida Samweli amesema wanafunzi wafanyiwe vipimo vya afya mara kwa mara ili kuwawezesha kufanya vizuri kwenye masomo yao. Mwalim Shida ameyazungumza hayo katika semina ya Afya iliyoshirikisha wadau mbalimbali wa elimu, wanafunzi na wazazi ikiwa ni kilele cha wiki ya elimu ambapo alikuwa mgeni rasmi.

Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni leo April 25, 2017

You Might Also Like

Wabunge wafurahishwa na utekelezwaji wa mradi wa bomba la mafuta ghafi EACOP

Profesa Mkenda kufungua maonesho ya Nane ya Tafiti na Ubunifu UDSM

Miaka 5 ya ITM, Serikali imeahidi kuadhimisha sekta ya rasilimali watu

Yanga, UNICEF na Serikali zaungana kutoa elimu Ugonjwa wa Kipindupindu

Msaada wa pikipiki kwa Polisi kulinda Watalii

TAGGED: habaridaily, siasa za Tanzania
Victor Kileo TZA April 25, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article UTAFITI: Kama ulikuwa hufahamu, hizi ndizo faida za kutembea
Next Article VIDEO: ‘Hatuna sababu ya kukataa, sisi tulituma vijana wetu’- CUF
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
Top Stories May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
Top Stories May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
Top Stories May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
Top Stories May 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

May 30, 2023
Top Stories

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

May 30, 2023
Top Stories

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu

May 30, 2023
Top Stories

Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023

May 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?