AyoTV

Utani wa Manara kuhusu Jerry Muro kupungua kilo 4 kwa kufungiwa (+ video)

on

Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano ya Simba Haji Manara leo January 27 2017 kuelekea mchezo wao wa Simba dhidi ya Azam FC ametumia muda huo pia kumuombea msamaha msemaji wa Yanga Jerry Muro huku akitania kuwa amepungua kilo nne toka afungiwe.

Nimemuona kusema kweli rafiki yangu Jerry Zanzibar tulikuwa nae, mimi namuomba Rais Jamal Malinzi amuachie hali ya Jerry ni mbaya amechoka, mimi nimuombee Jerry rafiki na kaniambia mwenyewe amepungua kilo nne” >>> Haji Manara

Mtazame Manara kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Yanga vs Azam FC January 7 2017, Full Time 0-4

Soma na hizi

Tupia Comments