Habari za Mastaa

Hakuna beef:Irene Uwoya na Tessy wa Aslay wamaliza tofauti zao

on

NI Headlines za Tessy wa Aslay ambae leo Agosti 24,2020 ameingia kwenye vichwa vya habari baada ya kushea picha ya mwigizaji Irene Uwoya akiwa katika vazi la CCM.

Tessy alipost picha hiyo na kuandika ‘Kuna mambo mengine bwana sio lazima tutumie nguvu maana tayari yanajieleza mwenye macho haambiwi tazama ndani ya miaka mitano tumejionea sasa tunasema tunataka mitano tena nani mwingine kama sio TingaTinga’- Tessy

Ikumbukwe hapo awali wawili hao waliwahi kuingia kwenye vichwa vya habari kuwa wana ugomvi uliopelekea kutoonekana kuwa na ukaribu kama ambavyo mashabiki walivyozoea.

 

AMNUNULIA MKEWE GARI YA THAMANI BAADA YA KULALAMIKA KUWA ANAUMWA

Soma na hizi

Tupia Comments