Ni Mrembo Hamisa Mobetto ambae akiwa nchini Kenya amefanya mahojiano na kituo cha TV maarufu kama NTV.
Katika mahojiano hayo mrembo huyo ameulizwa ukaribu wake na Rick Ross kisha kuweza wazi kwamba si wapenzi vile watu wanavyofikiria.
“Sisi ni kama familia kubwa na tumefanya vitu pamoja ambavyo muda wowote tutaviweka wazi” – amesikika Hamisa Mobetto
Unaweza ukabonyeza play kusikiliza kile alichozungumza Hamisa Mobetto