Mwimbaji staa wa Bongo, Harmonize amefunguka kuhusu kutoa wimbo wake wa Bed Room Youtube ambao ulikuwa ukifanya vizuri na hata kuingia trending number moja
Harmonize ameeleza kuwa ameutoa wimbo huo baada ya kuitwa Bodi ya filamu ambako alikutana na haya…!!
Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama akifunga
VIDEO: Uchebe kafungua alivyotaka kumsuprise Shilole na Tattoo feki