Top Stories

Wanaobaka watoto kupewa adhabu ya kuhasiwa?

on

Mbunge wa viti maalum CUF Lukia Kassim ameiomba Serikali kutunga sheria mpya kwa watu wanabaka watoto wapewe adhabu ya kuhasiwa ili kutokomeza matukio hayo. Naibu Waziri wa Afya, Ustawi wa jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Faustine Ndugulilele akasimama kujibu.

Mbunge CHADEMA, John Heche jinsi alivyofikishwa Mahakamani

Soma na hizi

Tupia Comments