AyoTV

GOOD NEWS: Upande mmoja wa Flyover TAZARA umeinuka

on

Moja ya matarajio makubwa ya Watanzania ni kuona FLYOVER ya TAZARA inakamilika na watu wanaanza kuitumia katika shughuli zao mbalimbali ikiwa ni pamoja na kupunguza kero ya foleni.

Sasa good news ni kwamba upande mmoja wa FLYOVER hiyo tayari umeshainuka na kilichobaki ni kuunganisha nguzo…

Tazama kwenye hii video hapa chini kwa kubonyeza play…

Madereva wa daladala Kituo cha Mawasiliano walivyogoma….

Soma na hizi

Tupia Comments