Kwenye U-heard ya March 24, 2017 inamuhusu staa Maua Sama ambaye ametawala kwenye headlines baada ya kudaiwa kutoka kimapenzi na Producer wa muziki wa Bongo Fleva Ema the Boy kutokana na ukaribu wao kwa muda mrefu.
Soudy Brown alipiga story na Maua Sama pamoja na Ema the boy…>>>”Hamna bhana, mimi na Ema tunafanya tu kazi, mimi siko na Ema na watu wanatangaza tu kwani mimi ni mtu wa kwanza kutangaziwa vitu vya namna hiyo..?” – Maua Sama.
>>”Sijui chochote kuhusu hizo habari. Mara nyingi tunakuwa tunarecord hamna kitu cha zaidi ya hapo. Wewe unajua mambo ya muziki yanavyokuwa, muda mwingine mnaweza kutoka asubuhi ukamrudisha anapokaa au usiku mkaenda wote kutafuta chakula lakini hamna chochote ni muziki tu.” – Ema the boy.
Bonyeza Play hapa chini kusikiliza Full story
VIDEO: Harmorapa afunguka kwanini alikimbia baada ya kuona Nape katolewa Bastola
VIDEO: ‘Nitarudi kama Mtangazaji lakini sio kama Mwanamuziki’- Meninah