Amani kutoka pande za Kenya +254 amerudi tena kwenye headlines za burudani baada ya kuachia video ya single yake mpya inayoitwa ‘Heartbreaker‘… Amani sio jina geni Africa, number ya hits alizowahi kutengeneza inafanya kila mtu mwenye love ya nguvu na muziki alijue jina lake pia !!
Video yake mpya Director ni Enos Olik.
Nakukaribisha hapa kuitazama…
PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos