Habari za Mastaa

Cheki jinsi Heineken Foosball ilivyokua Dar.

on

DSC_1880Mchezo wa Foosball ambao uko chini ya kinywaji cha Heineken umechezwa New Maisha Club Dar es salaam na Mwakilishi  wa  kampuni  ya  Heineken Tanzania Muhana Kibuta  alimkabidhi kapteni  wa  timu Mancity zawadi baada yakushinda michuano hiyo ya foosball pale Maisha Club.

Maisha2Washindi hao pia wameingia robo fainali ya kuwania nafasi ya kwenda Ibiza Spain kuangalia fainali za ligi ya mabigwa ulaya UEFA champions league,michuano ya Heineken foosball itaendelea katika sehemu mbalimbali za burudani jijini Dar endelea kufuatilia kupitia millardayo.com kwa taarifa zaidi.

Maisha3

 

 

Tupia Comments