HekaHeka

Umesikia kuhusu yule ‘Ticha’ jinsi alivyompa ujauzito mwanafunzi wake,sikiliza hapa Hekaheka ya leo.

By

on

tv+studio+on+airHizi ni mishe zinazotokea kila siku inayoitwa leo,sasa leo kupitia Idara ya Hekaheka inayo taarifa juu ya huyu Mwalimu aliyekua akimfundisha mwanafunzi masomo ya jioni lakini kilichokuja kutokea baadae ni Ujauzito,sikiliza mazingira jinsi ilivyokuwa,sikiliza kupitia 98.6 Clouds Fm Musoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments