HekaHeka

Hii hapa Heka heka ya leo Jan 15

on

On-air-sign-_-AAHeka heka hii ni muendelezo wa ile heka heka ya yule baba aliemkataa mtoto wake baada ya kusemekana hafanani nae huku sababu kubwa ikiwa ni Kisogo alichozaliwa nacho mtoto huyo sasa baba mzazi kapatikana na kuzungumza suala lote lilivyokuwa toka mwanzo hadi mwisho sikiliza kupitia 87.9 Clouds Fm Moshi.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments