Habari za Mastaa

Isikilize You Heard ya leo Januari 15.

on

You-heardYou heard ya leo inamhusu Memba wa zamani wa kundi la Daz Nundaz Family msanii Feruzi kwa hiki kilichomtokea siku chache zilizopita baada ya tuhuma zinazomkabili kusemekana zilimpeleka polisi,Soud Brown ana-amplify tuhuma hizo sikiliza kupitia 88.1 Clouds Fm Mwanza.

Bonyeza play kusikiliza

Tupia Comments