Wiki mbili zilizopita team ya Hekaheka ilifanya mahojiano na mama ambaye watoto wake wawili licha ya kuwa na umri mkubwa lakini wana matatizo ya viungo vyao kutokuwa imara.
Mtoto mkubwa ana miaka 12 na mwingine ana miezi saba..baada ya kuomba msaada, baadhi ya wasamaria wema waliweza kumsaidia kwa kumtumia fedha ambazo zimeamsaidai kwa kaisi kikubwa.
Mwenyewe amekuja na kutoa shukrani zake kwa Watanzania ambao walionyesha moyo wa huruma na kuweza kumsaidia na kueleza hali ya watoto inavyoendelea kwa sasa…
Msikilize hapa…
Nitakutumia stori zote ukibonyeza hapa >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos ili kila video ya AyoTV ikufikie.