Hii ni Hekaheka ambayo imetokea Shinyanga inayohusisha wazazi wa binti mmoja kumfanya binti yao kama sehemu ya chanzo cha mapato yao,ambapo inapotokea binti anapoitwa na wavulana huwapa taarifa wazazi wake na kisha kwenda kama kufumania,sikiliza kupitia 88.5 Clouds Fm Morogoro.
Bonyeza play kusikiliza.