Top Stories

Top 10: Waigizaji wakike wenye asili ya Afrika warembo zaidi Hollywood

on

Inawezekana umewaona kwenye filamu mbalimbali au hata mahojiano vvyombo vya habari na hata kwenya mitandao ya kijamii. Hawa ndio waliotajwa kuwa waigizaji 10 wa kike wenye rangi nyeusi ambo ni warembo na wenye mvuto zaidi nchini Marekani.

10. Zoe Saldana

Huyu ni mwanadada mwenye miaka 39 ambaye ni mwigizaji na mchezaji (dancer). Alizaliwa New Jersey nchini Marekani na ameolewa na mwigizaji Marco Perego mwenye Muitaliano na wana watoto 3.

Image result for Zoe Saldana

9. Kerry Washington

Kerry ni mwigizaji wa Marekani mwenye miaka 40 aliyezaliwa huko New York City. Alianza uigizaji mwaka 2012 na kuolewa na mwigizaji na mcheza mpira wa miguu wa zamani nchini humo Nnamdi Asomugha ambaye ana asili ya Nigeria. Wawili hawa wana watoto 3.

Image result for kerry washington

8. Halle Berry

Ni mwigizaji mwenye miaka 51 na mshindi wa tuzo ya mwigizaji bora wa kike kwa mwaka 2017 nchini humo. Halle ameshawahi kuolewa mara tatu na kuachana na wenzi wake hao na ana watoto wawili.

Image result for Halle Berry

7. Grace Gealey

Grace ametokea kwenye filamu nyingi moja wapo ikiwa ni tamthiliya ya Empire. Ana miaka 33 na mwaka jana aliolewa na mwigizaji mwenzie aitwaye Trai Byers ambaye pia ametokea kwenye tamthiliya ya Empire.

Image result for Grace Gealey

6. Sanaa Lathan

Mwigizaji huyu mwenye miaka 45 alizaliwa New York nchini humo. Jina lake ni lina maana ya Kiswahili kama linavyotamkwa.

Image result for Sanaa Lathan

5. Keke Palmer

Staa huyu wa filamu ana umri wa miaka 24, alizaliwa Illinois huko Marekana kwa familia ya Larry na Sharon Palmer.

Image result for keke palmer

4. Regina Hall

Huyu pia ameigiza filamu nyingi sana nchini humo. Ana miaka 47 na alizaliwa Washington DC nchini Marekani.

Image result for Regina Hall

3. Taraji P. Henson

Kama ilivyo kwa jina la mwigizji Sanaa, Taraji Penda Henson pia ana jina la Kiswahili. Anafahamika sana kwa jina Cooking ambalo ameigizia kwenye tamthiliya ya Empire. TMwigizaji huyu ana miaka 46 na alizaliwa Washington DC. taraji ana mtoto mmoja.

Image result for Taraji penda

2. Meagan Good

Good mwenye miaka 36 alizaliwa California na alianza uigizaji tangu mwaka 1985. Ameolewa na Mhubiri DeVon Frankline na wawili hawa wameshiriki katika kuandika kitabu cha ‘The Wait”.

Image result for meagan good

1. Gabrielle Union

Huyu ndiye mwigizaji wa kwanza aliyetajwa kuwa mrembo huko Hollywood. Ana miaka 46 na alizaliwa Omaha Marekani na akaanza kuigiza kwenye miaka ya 90. Ameolewa na mcheza kikapu maarufu wa klabu ya taifa ya mchezo huo NBA Dwayne Wade mwenye miaka 35.

Image result for gabrielle union

Ulipitwa?Kama umejiuliza kwanini Wema hajaenda kwenye party ya Idris


RED CARPET: Wema na Idriss wamerudiana? mtu kashikwa mwanzomwisho

 

 

Soma na hizi

Tupia Comments