Vituko/ Comedy

Cheki style mpya balaa za chalii ‘R’ Chugga ‘Mbele mbele yao, kusoma ni usiku’

on

Leo May 19,2019 Ayo TV na millardayo.com inakukutanisha na vipaji vipya kutokea Arusha kutana na dogo ambaye anatrend kwenye mtandao ya kijamii kutokana na aina yake ya kucheza kingaleloo (Arusha Style) na anapata fedha kupitia show anazozifanya kwenye sherehe mbalimbali.

Bonyeza PLAY hapa chini kumtazama mwanzo mwisho

VIDEO: UNAWAFAHAMU WATU MAARUFU WALIOZALIWA TANZANIA LAKINI SIO WATANZANIA? BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

Soma na hizi

Tupia Comments