Michezo

Wanamichezo wa Tanzania na Kenya wametoweka Australia

on

Moja kati ya habari ambazo nimekutana nazo leo April 17 ni pamoja na hii ya mtanzania Fathiya Pazi  ambaye ni mchezaji wa mchezo wa table tennis aliyekuwa anaiwakilisha Tanzania katika michuano ya Jumuiya ya Madola Goldcoast Australia kuwa ametoweka kambini.

Fathiya Pazi

Fathiya Pazi sio mwanamichezo pekee wa Afrika aliyetoweka katika kambi ya timu yake, pia imeripotiwa kuwa bondia Ben Agina raia wa Kenya nae ameripotiwa kutoweka wakati wa timu yake ikibadilisha ndege.

Ben Agina

Hata hivyo kutoweka kwa wanamichezo hao kunadaiwa kuwa ni kutokana na wanamichezo wa afrika kupenda kuzamia ulaya kwa madai ya kwenda kutafuta maisha bora.

ALL GOALS: Simba vs Mbeya City April 12 2018, Full Time 3-1

Soma na hizi

Tupia Comments