Mchekeshaji wa Timamu TV Bwana Mjeshi amezungumza kwa upande wake kuhusu ishu ya BASATA ya kuyataka makampuni kulipa Milioni Tano za kitanzania endapo watamtumia msanii kwenye tangazo ikiwa ni kwa lengo la kukuza na kulinda thamani ya msanii.
Bwana Mjeshi amesema kuwa kwa yeye binafsi hawezi kulipa kwani anaona jambo hilo halijakaa sawa na isitoshe watamsamehe kwani amehangaika sana kujitengeneza na kuhusu kulipa kodi amedai wasanii wanalipa sana kodi.
Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Bw. Mjeshi
VIDEO: Linah Kafunguka “Napenda wanaume weusi, nikiwaona nasisimka, wamekaa kiume”