Jioni ya December 14, 2019 zimefanyika fainali za kumpata mrembo wa Dunia na Mrembo kutoka Jamaica, Toni-Ann Singh amefanikiwa kuibuka mshindi wa taji la Miss World 2019/2020 akiwa na umri wa miaka 23 na tofauti na urembo anapenda zaidi kuelimisha juu ya afya ya akili na matarajio yake ni kuwa daktari.
Kwenye mashindano hayo nafasi ya pili imekamatwa na mrembo kutokea Ufaransa ambaye ni Ophely Mezino huku nafasi ya tatu akishikilia mrembo kutokea India, Suman Ratansingh Rao.
Na nchi zilizofanikiwa kuingia Top 5 na Top 12 ni hizi hapa chini.
TOP 5
- Nigeria
- Brazil
- India
- Jamaica
- France
TOP 12
- Kenya
- Nigeria
- Brazil
- Mexico
- India
- Nepal
- Philippines
- Vietnam
- Jamaica
- France
- Russia
- Cook Islands
VIDEO: HII NDIYO NYUMBA ALIYOZALIWA ALIYEKUWA STAA BONGO MOVIE, SHARO MILIONEA