Msanii wa Bongofleva Ommy Dimpoz baada ya kuugua kwa muda mrefu kutokana na kufanyiwa upasuaji wa koo la chakula nchini Afrika Kusini siku kadhaa zilizopita na kupelekea kusimama kwa kazi zake za muziki.
Leo Alhamisi ya September 13 2018 anasherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa (Birthday) na ameamua kushea na mashabiki wake kwa mara ya kwanza picha yake aliyopigwa akiwa ICU, Ommy Dimpoz amepost picha hiyo instagram na kuandika.
EXCLUSIVE: “SUMU NDIO CHANZO CHA MIMI KUUMWA” – OMMY DIMPOZ