Ukiachilia mbali na kazi yake ya upishi sasa ameamua kuingia jikoni na kuipika ‘Ukintekenya‘ ni Shilole kwenye new hit single akiwa amemshirikisha Aslay ndani ya ngoma hiyo fanya kubonyeza PLAY hapa chini ili kuitazama.
VIDEO:Account ya Marehemu Godzilla instagram yageuzwa page ya umbea