Jeshi la Polisi Mkoa Mbeya linamhoji Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu baada ya kutembea kwa video inayoashiria uchochezi kuhusu vitambulisho vya wafanyabiashara wadogowadogo maarufu kama machinga.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Ofisini kwake Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya SACP Ulrich Matei amesema wamemuita kwa ajili ya kupata sababu ya kutaka kujua maneno hayo ni ya kwake na kafanya kwa madhumuni gani.
UFAFANUZI KUONEKANA KWA VICHWA VYA WATOTO NA MABOMU