Mrembo Mtanzania Wema Sepetu amekuwa na kesi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ambayo imekuwa ikiendelea siku hadi siku ambapo leo August 4, 2017 alirudi tena Mahakamani na kilichoendelea ninacho.
Taarifa ikufikie tu kwamba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo August 4, 2017 imeahirisha kesi ya kukutwa na dawa za kulevya inayomkabili Miss Tanzania 2006 Wema Sepetu na wenzake hadi August 15 na 16, 2017 itakaposikilizwa.
#BreakingNews Mahakama ya Kisutu imeahirisha kesi inayomkabili Wema Sepetu mpaka itakaposikilizwa tena tarehe 15 na 16 August pic.twitter.com/QdooRUPZGK
— millardayo (@millardayo) August 4, 2017
ULIPITWA? Wanachama wa CUF walivyopigana ndani ya Mahakama Kuu…tazama hapa!!!