AyoTV

VIDEO: Wanachama wa CUF walivyopigana ndani ya Mahakama Kuu leo

on

Moja ya habari kubwa leo August 4, 2017 ni tukio la Wanachama Chama cha Wananchi CUF wanaodaiwa kumuunga mkono Katibu Mkuu wa Chama hicho, Maalim Seif Sharif Hamad na wanaodaiwa kumuunga mkono Mwenyekiti Prof. Ibrahim Lipumba kupigana katika Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam.

Video hii ina kila kitu….tazama kwa kubonyeza play!!

Soma na hizi

Tupia Comments