Maswali uliyotamani kuuliza kwa Konde Gang msimu huu yapo kwenye hii Exlusive Interview ikiwemo idadi ya Watu waliopata kwenye show zao za Marekani, madongo waliyotupiwa mitandaoni kwamba show zao zimebuma, ugomvi wa Harmonize na Kajala, Harmonize na WCB, kulala stoo, anamchukuliaje Rayvanny, kwanini hatamani Mtu yeyote ajiunge na Konde Gang, show yake ya kuvunja rekodi ambayo ataifanya November 27 2021 Nangwanda Sijaona Stadium Mtwara na mengine mengi.
MACVOICE: ASIMULIA