Baada ya Rapa Iggy Azalea kufanya vema na Hit’s single yake ya ‘Fancy’ aliyomshirikisha Charli XCX, leo nakusogezea video ya collabo yake mpya inaoitwa‘Trouble’ aliomshirikisha muigizaji na muimbaji Jennifer Hudson wimbo unaotoka kwenye Albam yake mpya ya Reclassified, unaweza kuicheki hapa mtu wangu.
New video ya Iggy Azalea na Jennifer Hudson- ‘Trouble’

Leave a comment
Leave a comment