Habari za Mastaa

New video ya Iggy Azalea na Jennifer Hudson- ‘Trouble’

on

iGGYBaada ya Rapa Iggy Azalea kufanya vema na Hit’s single yake ya ‘Fancy’ aliyomshirikisha Charli XCX, leo nakusogezea video ya collabo yake mpya inaoitwa‘Trouble’ aliomshirikisha muigizaji na muimbaji Jennifer Hudson wimbo unaotoka kwenye Albam yake mpya ya Reclassified, unaweza kuicheki hapa mtu wangu.

Nitaendelea kukupatia kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia Twitter, Instagram na Facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza >>>twitter Insta Facebook

Tupia Comments