Baada ya Mama Kanumba kuzungumza na mwandishi wa habari wa Sam Misago kuhusu Muna na kisha kauli yake kusambaa sana kwenye mitandao ya kijamii huku watu wakiichukulia kwa mtazamo wa tofauti Ayo TV ikamtafuta tena Mama Kanumba ilikusikia Kutoka kwake je alikuwa anamaanisha nini kusema vile.?
Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza MAMA KANUMBA.
VIDEO: Mama Kanumba “Gabo amenialika akanigharamia kila kitu kufika hapa”