Top Stories

FULL VIDEO: Madiwani warushiana makonde, uchaguzi wa naibu meya Ilala

on

Leo October 3, 2018 Uchaguzi wa Naibu Meya umefanyika katika katika ukumbi wa Anatogrol hall eneo la Mnazi Mmoja ambapo jumla ya wajumbe 52 wakiwa 26 kutoka CCM na 26 kutoka vyama vya Upinzani wamepiga kura kumchagua Naibu Meya wa Halmashauri ya Ilala.

Wagombea waliokuwa wakigombea nafasi hiyo ya Unaibu Meya ni Omar Said Kambilamoto Diwani wa CCM kutoka kata ya Vingunguti pamoja na Rajabu Fugame Diwani wa CUF kutoka kata ya Buguruni.

Katika hali ya kustaajabisha baada ya matokeo hayo kutangazwa ziliibuka vurugu za ghafla ambapo bado haijafahamika kisa nini cha vurugu hizo.

Mzee aliepokea Milioni 20 za Rais Magufuli “2020 mwambieni asihangaike akae tuli”

Soma na hizi

Tupia Comments