Mix

BREAKING: IKULU yasahihisha taarifa za uteuzi wa Mama Salma Kikwete

on

Dakika kadhaa zilizopita imetoka taarifa kuhusu Rais Magufuli kumteua Mama Salma Kikwete kuwa Mbunge ambapo kwenye taarifa ya kwanza ilisema ameteuliwa kuwa Mbunge wa Viti Maalum, taarifa yenye marekebisho imesema ni Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na sio Viti Maalum.

VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha aliyopiga na Edward Lowassa, bonyeza play hapa chini kutazama

VIDEO: Jamaa kaigilizia sauti ya Jakaya Kikwete mpaka watu wakacheka, bonyeza play hapa chini kumtazama mwanzo mwisho.

Soma na hizi

Tupia Comments