Mix

BREAKING NEWS: Rais Magufuli kamteua Mama Salma Kikwete

on

Ni Taarifa kutoka Ikulu Dar es salaam Tanzania ambapo jioni hii tunayafahamu maamuzi mengine mapya ya Rais Magufuli ambapo amemchagua Mke wa Rais mstaafu wa awamu ya nne Mama Salma Kikwete, taarifa yenyewe ya IKULU ndio hii hapa chini

VIDEO: Simu Mzee Kikwete aliyompigia Ridhiwani baada ya kuona picha yake aliyopiga na Edward Lowassa, tazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

Soma na hizi

Tupia Comments