Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Waziri Dr Kigwangalla kamualika Tanzania shabiki wa Man City

on

Waziri wa Maliasili na Utalii Dr Hamis Kigwangalla amemualika kijana Braydon Bent nchini Tanzania kuja kutembelea vivutio vya utalii kwa gharama za waziri, pamoja na kumuomba kuwa balozi wa hiari kama atapenda.
.
Braydon Bent mwenye umri wa miaka 10 amepata umaarufu mkubwa Tanzania kutokana na kuwa na umri mdogo lakini amekuwa anazungumzia masuala ya soka hususani timu yake ya Man City kiundani kama ambavyo wanafanya wachambuzi na watu wazima.

“Asante Braydon Bent kama waziri wa maliasili na utalii wa Tanzania, ningependa kukualika Tanzania kwa gharama zetu na kukuteua kuwa balozi wetu wa hiari, kama utakubaliana na ofa hiyo tutashukuru sana”>>>Dr Kigwangalla

Simba na Yanga za kataa kuungana ili kucheza na Mabingwa mara 5 wa Europa League May 23

Soma na hizi

Tupia Comments