Premier Bet
TMDA Ad

Michezo

Kama Liverpool watamtoa Barcelona, Haji Manara atahamia Yanga

on

Afisa habari wa Simba SC Haji Manara ambaye pia ni shabiki wa Simba SC, ameweka ubashiri wake kuhusiana na game ya nusu fainali ya UEFA Champions League kati ya FC Barcelona dhidi ya Liverpool, hii ni game ambayo licha ya tarehe ya kuchezwa kuwa mbali lakini imeanza kuwa maneno na ubishani wa kishabiki.

Kwa upande wa Haji Manara ametangaza kuwa kama FC Barcelona atatolewa na Liverpool basi atahamia Yanga, Haji Manara kwa mtazamo wake anaamini kuwa Barcelona iko vizuri zaidi ya Liverpool ndio maana amekuwa na jeuri ya kuweka ahadi hiyo ambayo anaamini haiwezi kutokea.

Simba na Yanga za kataa kuungana ili kucheza na Mabingwa mara 5 wa Europa League May 23

Soma na hizi

Tupia Comments