social network

#Instagram imehesabu na kuchagua picha 17 bora za wasanii wa Hip Hop wiki hii… Msanii wa Africa ni mmoja tu! (Pichaz)

on

Mitandao ya kijamii kwenye headlines… kama unahisi kuwa mtandao wa Instagram hauna muda wa kufuatilia wasanii na picha zao basi leo Instagram inakupa sababu tofauti kabisa!

Wiki hii Instagram ilikuwa inawafuatilia wasanii na matukio yao ya picha mtu wangu na kwenye hesabu yao wapo wengi kutoka Marekani baadhi wakiwa Nas, Big Sean, Future na 50 Cent… ila kizuri zaidi kuhusu hesabu hii ni kwamba Instagram imetupia macho pia matukio ya picha ya wasanii kutoka Africa!

IG12

Ungependa kujua ni msanii gani kutoka Africa ambaye amefanikiwa kuingia kwenye countdown ya Instagram ya picha bora za wasanii wa hip hop wiki hii!?… Zitazame zote 17 hapa chini kukutana nae mtu wangu!

IG1

1.Rapper Nas na Media Personality Oprah.

IG2

2.Future

IG3

3.French Montana.

IG4

4.Kanye West na Kris Jenner (Mama wa Kim Kadarshian).

IG5

5.Nicki Minaj

IG6

6.Rapper 50 Cent

IG7

7.Chance The Rapper.

IG8

8.Meek Mill.

IG9

9.Azealia Banks.

IG10

10.Rapper YG.

IG11

11.Rapper Wale.

IG12

12.Macklemore

IG13

12.Rapper Dej Loaf

IG14

14.Rapper Big Sean.

IG15

15.Rapper Fabolous

IG17

16.Soulja Boy.

ig18

17.Picha ya Msanii wa Africa iliyofunga hesabu ya zile picha 17 bora za wasanii wa hiphop kutoka Instagram ni hii hapa mtu wangu… Wizkid na Ty Dolla $ign!

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia kuanzia kwenye siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi>>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Soma na hizi

Tupia Comments