Mix

Rais Magufuli aridhia ombi la kustaafu Jaji wa Mahakama Kuu Prof. Ruhangisa

on

Rais Magufuli ameridhia maombi ya kustaafu mapema kwa Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Prof. John Eudes Ruhangisa.

Taarifa iliyotolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi leo July 6, 2017 imeeleza kuwa Rais Magufuli ameridhia maombi ya kustaafu mapema kwa Prof. John Eudes Ruhangisa kuanzia July 6, 2017.

Prof. John Eudes Ruhangisa alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu ya  Tanzania Kanda ya Shinyanga.

VIDEO: Masharti manne ya TCRA kwa Makampuni ya simu Tanzania

Soma na hizi

Tupia Comments