Habari za Mastaa

Dogo Janja amefata walichokifanya AY, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee

on

Dogo janja ni msanii anayezidi  kufanya vizuri kwenye mziki wake tangu aliporudi upya amekuwa akionyesha utofauti mkubwa kwenye muziki wake kitu ambacho wasanii wengi wamekuwa wakimpongeza. Dogo janja ametumia ukurasa wake wa Instagram kutuonyesha muonekano wake mpya akiwa amevaa meno ya dhahabu kama walivyofanya, AY, Diamond Platnumz na Vanessa Mdee.

janajroo1

GOLD JUU GOLD KWENYE MENO… janjaro mambera mbera MBERA HADI KWENYE MENO.. @kelvine_kb24 @kb24_urbanstyle #JanjaroMamberaMbera

A photo posted by Real Account for Dogo Janja (@dogojanjatz) on

@kelvine_kb24 @kb24_urbanstyle GRILLS????

A photo posted by Real Account for Dogo Janja (@dogojanjatz) on

Video: Alichokisema AY kuhusu meno yake ya Gold >>>

Video: Dogo Janja kuhusu collabo aliyoshirikishwa na msanii wa Kenya>>>

 

Unazitaka Breaking NEWS na Stori zote? ungana na Millard Ayo kwenye Facebook Twitter Instagram na Youtube na atakuletea matukio yote ya picha, video na habari iwe usiku au mchana…. bonyeza hapa >>> FB Twitter Instagram YouTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments