Premier Bet
TMDA Ad

AyoTV

EXCLUSIVE: Mtanzania aliyebuni Ndege isiyokuwa na rubani kwa ajili ya Wakulima

on

Tanzania ni moja kati ya nchi iliyobarikiwa kuwa na vijana wenye uwezo na vipaji, ambapo leo tunayo story kutokea kwa Salum Ahmed aliyebuni ndege ndogo isiyokuwa na rubani kwa ajili ya Wakulima.

Akizungumza katika Exclusive na Ayo Tv, Ahmed amesema wazo la kubuni ndege hiyo alilipata akiwa kijijini kwao ambapo Baba yake alikuwa akimuamsha asubuhi kwa ajili ya kwenda kumwagilia dawa katika mashamba yao.

Siku hiyo nilikwenda shambani asubuhi, lakini baadaye lilinijia wazo kwanini nisitengeneze kitu ambacho kitaweza kumwagilia dawa kwa urahisi ambapo nikaapata wazo la kutengeneza hii ndege,” amesema.

ILICHOKIFANYA SERIKALI YA MAREKANI KWA WANAFUNZI 25 WA KITANZANIA

Soma na hizi

Tupia Comments