Kamishna Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNHCR, Filipo Grandi amesema Shirika hilo litafanya mkakati wa kutoa misaada kwa wakimbizi na jamii inayozungukwa na wakimbizi Tanzania.
Grandi ametoa kauli hiyo wakati akizungumza na jamii ya wakimbizi na wenyeji katika viwanja vya soko la pamoja kambini Nyarugusu..
Grand amesema licha ya changamoto mbalimbali za wakimbizi kwa wenyeji UNHCR itatoa huduma za uhifadhi wa mazingira na kuhakikisha watoto wakimbizi na wenyeji wanasoma katika mazingira bora na rafiki.
LIVE: KIPINDI CHA MASWALI NA MAJIBU BUNGENI