AyoTV

VIDEO: Wanaotaka Makao Makuu kuhamia Dodoma, Rais Magufuli ana hii kauli

on

Mei 1 2016 Maadhimisho ya siku ya wafanyakazi (MEI MOSI) yalifanyika kitaifa mkoani Dodoma na mgeni rasmi akiwa ni Rais wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, Watu mbalimbali walijitokeza katika viwanja vya Jamhuri.

Rais Magufuli alipata nafsi ya kusikiliza changamoto mbalimbali za Wafanyakazi kutoka Chama cha Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) kisha baadae akasimama na kuzungumza na watu wake ambapo unaweza kumtazama kwenye hii video ya Dakika 10 hapa chini….

ULIIKOSA HII BAADA YA KUTOKA MAREKANI MTOTO GETRUDE KAKARIBISHWA BUNGENI LEO, ALICHOKIZUNGUMZA JE?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments