Vituko/ Comedy

JK Comedian alivyoigiza sauti za Mama Rwakatale, JPM kwenye tuzo za WASSA

on

Msanii JK Comedian amezidi kuonesha ubora wake katika kuziigiza sauti za watu mashuhuri kwa style ya kuchekesha na kuwa mmoja wa wachekeshaji wa pekee Bongo.

JK Comedian amekuwa akialikwa sehemu mbalimbali kuburudisha watu kwa kuiga sauti za viongozi wa kisiasa, kidini na watangazaji maarufu na hapa ilikuwa kwenye Utoaji wa tuzo za Wanafunzi Afrika Mashariki maarufu WASSA ambapo aliigiza sauti za Mama Rwakatare, Kardinal Pengo, JPM, Masanja na Rais Mstaafu Jakaya.

Tutegemee kuiona Orijino Komedi tena? Hali ya Vengu nayo vipi? Majibu yapo kwenye video hii…bonyeza play kujua zaidi!!

Soma na hizi

Tupia Comments