Ikiwa October 13, 2020 Baada ya mvua kunyesha kuanzia Alfajiri mpaka mchana wa leo sasa Ayo TV & Millardayo.com imefika kwenye baadhi ya maeneo kukusogea ujionee yaliyojiri na hapa ni Survey Dar es Salaam ambapo Mvua iliyonyesha imesababisha shughuli za Saloon kusimamishwa kutokana na maji kuingia ndani .
TAZAMA MVUA ZA DAR LEO MAJI YAFURIKA JUU YA BARABARA HIZI, FOLENI YAONGEZEKA