Leo March 18, 2019 Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam imekubaliana na uamuzi wa Msajili wa Vyama vya Siasa wa kumtambua Profesa Ibrahimu Lipumba kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi CUF.
Pia imetupilia mbali maombi yaliyofunguliwa na Maalimu Seif Hamad aliyeomba mahakama kutoa amri ya kubatilisha barua ya Msajili wa Vyama ya kumtambua Profesa Lipumba kuwa Mwenyekiti wa chama hicho.
MGOMO WA DALADALA MBEYA, BAJAJI ZASHIKA HATAMU, NAULI BEI JUU