Habari za Mastaa

VIDEO: Alichojibu Gabo kuhusu watoto kushinda tuzo ya mwigizaji bora ‘kamwene’

on

Mwigizaji Gabo amejibu kwa ufupi kuhusu watoto walioshinda Tuzo ya mwigizaji bora wa kike na mwigizaji bora wa kiume kwenye Tuzo za Sinema Zetu #SZIFF2019 ikiwa ni kwa mara ya kwanza Gabo kuzungumza kuhusu watoto hao. Bonyeza PLAY hapa chini kutazama majibu ya Gabo.

‘Siwezi kujichubua huo muda sina, Bongomovie wakongwe wanasumbua sana location’

Soma na hizi

Tupia Comments