Madereva wa daladala jijini Mbeya wamegoma kusafirisha abiria kuanzia asubuhi ya leo wakipinga Bajaji kufanya usafirishaji katika barabara kuu kwa kuwa hali hiyo imekuwa ikiwakosesha mapato.
Nauli za bajaji leo zimepanda kutoka shilingi mia tano mpaka elfu moja kwa abiria moja kutoka Uyole kwenda Kabwe wakati daladala ilikua nauli ni shilingi mia nne.
Mtoto wa Mama Ntilie anayemiliki Shule zaidi moja amtaja JPM “anakuja mwezi ujao”