Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Jambo walilokanusha wataalamu kuhusu umri wa kujifungua
Share
Notification Show More
Latest News
Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
March 22, 2023
Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’
March 22, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Top Stories > Jambo walilokanusha wataalamu kuhusu umri wa kujifungua
Top Stories

Jambo walilokanusha wataalamu kuhusu umri wa kujifungua

September 24, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Kumekua na mitazamo na taarifa mbalimbali kuhusiana na madhara mbalimbali yatokanayo na wanawake wenye umri mkubwa wanaposhika ujauzito kuweza kujifungua watoto wenye matatizo ya kiafya hususani utindio wa ubongo jambo ambalo Mkunga maarufu nchini England ameeleza sio sahihi na hata kama kuna hatari za jambo hilo sio kubwa kwa kiasi hicho.

Mkunga huyo Prof. Cathy Warwick ambaye ni Mkuu wa Chuo ch Wakunga nchini humo ameeleza kuwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na trend ya wanawake wengi kujifungua wakiwa na na umri wa kuanzia miaka 28 hadi 45 kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo za kiafya, mazingira, za kimasomo, kikazi na mengine jambo linalozua mijadala mingi ya kuwaibulia hofu wanawake wengi.

“Hata kama mwanamke atapata mtoto kati ya miaka 42 na 45 anaweza kupata mtoto asiye na matatizo kama tu mama huyo ana afya ya kutosha na hivyo watu waache kuogopesha wakinamama hawa.” – Prof. Warwick

Ulipitwa na hii? UNATAKA KUANZISHA KIWANDA? Kuna hii ya fahamu kutoka TPSF

MBUNGE MSUKUMA TENA!! Ni kuhusu maiti iliyookotwa GGM

You Might Also Like

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

TAGGED: duniani, habari za afya, TZA HABARI
Admin September 24, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Utafiti: Inashauriwa kunywa vikombe 4 vya kahawa kwa siku…….sababu?
Next Article “Walitishia kutupiga risasi wakachukuwa ng’ombe wetu” – Wanakijiji
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)
Top Stories March 22, 2023
Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili
Top Stories March 22, 2023
Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya
Top Stories March 22, 2023
Mfungo wa Ramadhan Kaya 1000 zapatiwa vyakula “Tunarudisha kwa Jamii”
Top Stories March 22, 2023

You Might also Like

Top Stories

Mwili waopolewa mto Msimbazi DSM, Jeshi la Zimamoto (VideO+)

March 22, 2023
Top Stories

Rais Samia atoa Bilioni 196.6 Mlele Kwa miaka miwili

March 22, 2023
Top Stories

Video: Rais Samia amuibua Ally Hapi, Afunguka haya

March 22, 2023
Top Stories

Jamaa aangusha gari Mtaroni, Dereva haonekani, mashuhuda wasimulia, ‘Alikuwa anaongea na simu’

March 22, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?