Top Stories

Mwenyekiti wa Chadema alietekwa katoka hospitali, pichaz na alichosema.

on

DSC_0142millardayo.com : Mendeleo yako yakoje?

Joseph Yona: Mendeleo yangu sasa hivi ni mazuri zaidi ni kichwa na mgongo tu vinaniuma ila tuliamua tu kwa hali ya kawaida kuondoka hospitali saa kumi na mbili jioni siku ya tukio kwa sababu ya mambo ya kiusalama.

Millardayo.com: Majibu ya madaktari yakoje?

Joseph Yona: Vipimo vyao walipima wakakuta naendelea vizuri kwa hiyo wakasema ni maumivu tu kwa sababu ya hivi vidondavidonda na mwili kwa hiyo wakanipa dawa za kumeza nyingine wamenambia ninunue mtaani.

Millardayo.com: Ni kweli umehama nyumbani ulipokua unakaa mara ya kwanza baada ya kutoka Hospital?

DSC_0140Joseph Yona: ‘Ni kweli nimehama sababu za kiusalama, Chama chetu sehemu inayofikia mi naamini sio kuzuri sana kwa sababu wale watu walivonichukua walinipiga nilikuwa sijisikii vizuri nilipokua naongea na waandishi lakini leo nipo vizuri, mtu kama Sabura alikuwa akiwapigia simu nilikuwa nawasikia kabisa walikua wanawasiliana nae kuna mtu kama k-two’

Kwa hiyo unaponiumiza mimi kama kiongozi wa Chama je hawa watu wa chini itakuaje? kwa hiyo vyombo vya usalama inabidi viangalie hata wale walionifungia ofisi yangu saa 10 kabla ya mimi kutekwa kwa sababu ni saa chache tu kabla ya kutekwa.

Tupia Comments