AyoTV

FULL VIDEO: Rais Magufuli tena kuhusu sakata la dawa za kulevya na agizo kuhusu waliofungwa nje ya Nchi

on

Rais John Pombe Magufuli alizungumza wakati wa kuapishwa kwa Kamishna mpya wa kupambana na dawa za kulevya pamoja na mkuu mpya wa Uhamiaji Tanzania.

Moja ya alivyovisema ni kuhusu dawa za kulevya na pia Watanzania waliofungwa nje wasishughulikiwe kivyovyote na Mabalozi na Wizara ya mambo ya nje, tazama kila kitu kwenye hii video hapa chini

VIDEO: Mahubiri ya Askofu Gwajima kanisani Jumapili baada ya kuachiwa juzi na Polisi, tazama kwenye hii video hapa chini

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako Millard Ayo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments