Habari za bomoabomoa Dar zimeendelea kutanda kwenye anga la habari ambapo leo August 29, 2017 bomoabomoa imepita kwenye duka la mwimbaji wa Bongofleva Juma Jux ambalo lilikuwa linauza bidhaa zake za mavazi ya African Boy.
Fatma ambae ni dada wa Jux alichukua video na kusema “Hii ndio hali niliyoikuta baada ya kufika dukani kwangu leo asubuhi, tumebomolewa bila kupewa taarifa yoyote…. vitu nilivyoweza kuvitoa ni hivi, kila kitu changu kimebomoka”
“Ni mgogoro uliokua kwa wenye nyumba wenyewe, nachukua hii video si kama nina nguvu ila najikaza… Wateja wangu mniwie radhi tutaendelea kuwasiliana kwa simu” – Fatma
Kimara wanavyolala nje baada ya bomoabomoa…. tazama kwenye hii video hapa chini
VIDEO: Hatimae Jackline Wolper afunguka kuhusu kuachana na Harmonize, Sarah katajwa humo ndani mwanzo mwisho…. bonyeza play hapa chini kumtazama
HAUTAKI KUPITWA??? Kuna hii APP MPYA YA MILLARD AYO kwa wewe wa ANDROID unaweza kubonyeza hapa moja kwa moja kwenda kui-download mtu wangu, HABARI ZOTE KIGANJANI MWAKO >>> APP MPYA BONYEZA HAPA